KND Cosmetology and Business school
Tunayofuraha kukukaribisha kujiunga na chuo chetu kwa ajili ya mafunzo,Unaweza kupakua form yetu ya usajili katika tovuti hii,Fomu hii utaipakua/Download kisha utaprint na kuijaza ,baada ya kuijaza utaiwasilisha katika barua pepe ya chuo chetu ili uweze kusajiliwa
Karibu sana KND Cosmetology and Business school
Baada ya kujaza taarifa katika fomu uliyodownload katika tovuti yetu ,sasa unaweza kuwasilisha fomu yako chuoni moja kwa moja kupitia website hii ,gusa kitufe submit kisha wasilisha taarifa zako chuoni kwa ajili ya usajili.Waweza wasiliana nasi pia endapo utapata tatizo lolote katika hatua za usajili
click to submit form👆