Sasa unaweza kulipa ada yako kama ilivyoonyeshwa katika form ya usajili ,Ada italipwa moja kwa moja kwenye akaunti za chuo chetu ,Karibu sasa uweze kupakua form ya malipo na kufanya malipo kwa ajili ya kujiunga na chetu pendwa KND cosmetology and Business school
Kwa msaada wa karibu kabisa waweza fanya malipo kwa kuwasiliana na uongozi wa chuo moja kwa moja,gusa kitufe hapo chini kuwasiliana nasi moja kwa moja ili uweze kupewa mchakato mzima wa kulipa na kuweza kufanikisha zoezi hili.
click to pay 👆