KD COSMETOLOGY AND BUSINESS SCHOOL
Wataalamu wa urembo, Masoko, usimamizi na uendeshaji wa biashara mtandaoni.
Toka katika 'SIJUI' mpaka kuwa 'MTAALAMU'
Programu yetu hii kwa vitendo ni ya viwango vya juu zaidi, itayokubadilisha na kuwa mtaalamu, mashuhuri na mbobezi wa biashara mwenye uwezo wa:
2. Kupata kazi yoyote upendayo ya kusimamia biashara na masoko mtandaoni.
3. Kuwa mshauri mashuhuri.
4. Kupata kazi/mkataba kama mtaalamu wa urembo na biashara za mtandaoni.
5. Kupandishwa cheo kazini kutokana na maarifa, ujuzi na taaluma uliyojiongezea.
6. Kuanzisha biashara yako binafsi.
Pata uwezo wote huu ndani ya mwezi mmoja tu kuanzia sasa na uongeze kipato chako.
Ada TZS 150,000 kwa mwezi tu, kozi ni ya mwezi mmoja kamili na kwa utimilifu.
●Fomu zinapatikana ofisini kwa TZS 10,000
●Wasiliana nasi kupitia +255787101432 au +255746797978 kwa maelezo zaidi
●Darasa litahusisha wanafunzi nane
Gusa neno NIUNGE kujiunga nasi sasa
Tags
KD SALON